Jezi za Etoil Du Sahel

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Kwa hapa bongo zimeanza kuuzwa?

Au zinapatikana wapi!!?

Nahitaji 2 tu
 
Hauna haja kutafuta jezi zao,vaa jezi yako ya Simba
 
Huu unafiki siju utaisha lini.Wenyewe hao waarabu wanawaona wajinga tu badala ya kuisapoti Yanga ikapeperushe bendera ya nchi yako unamsapoti muarabu ambaye hakusaidii chochote!
 
Unafiki siyo kwa simba hao ndala ndio walianzisha huo mchezo.
Kwa mfano tuu hao ndala walivaa jezi za mazembe huku wakimvalisha katumbi jez ya yanga
 
Katafute pale makunganya sio street la hasha ni pale mlipowatoa bnadamu wenzenu ili mshnde japo 2 kwa 1
 
Huu unafiki siju utaisha lini.Wenyewe hao waarabu wanawaona wajinga tu badala ya kuisapoti Yanga ikapeperushe bendera ya nchi yako unamsapoti muarabu ambaye hakusaidii chochote!

Nyinyi TP Mazembe waliwaona mna akili?
 
uzalendo ni timu ya taifa tu wengine piga tuu
 
Nyinyi TP Mazembe waliwaona mna akili?

Vaeni basi hizo jezi mfurahie maana ndicho kituu pekee mnachoweza kufanya kwa sasa maana club yenu imeshasahaulika kwenye medani za kimataifa.
 
Leo hukuvaa za coastal au ulisahau kama yanga anacheza na coastal!!!
Kwanza nilitaka kushangaa tangu lin Mngoni akawa mjanja!!!
 
Ni ujinga na ujua ili iweje kuishaabikia Team toka Nje ... Ni ujinga uliopitiliza.
 
Leo hukuvaa za coastal au ulisahau kama yanga anacheza na coastal!!!
Kwanza nilitaka kushangaa tangu lin Mngoni akawa mjanja!!!

Nimevaa ya Azam Leo nimekaa Mbele kabisa kwenye kibanda umiza,wanyakyusa wamezingua.
 
Mvae,msivae hao etoile cjui toilet watapata cha mtemakuni,hapana chezea YANGA ktk ubora wake kubalini tyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…