Jezi za Simba zimejaa radi(Thunderstorm), Tuna Safari ndefu ya ubunifu Tanzania

Airfryer

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
430
Reaction score
1,039
Hongereni M bet kwa kufanya nembo yenu ing'ae kwa kuamua kuchora picha za radi jezi yote ya simba

Jezi zina muundo wa kike sana, Au simba wanaume mambo yenu sio haba? Mmezoea Mombasa wana simba kwa muundo ule wa jezi mashalah

Jezi za Simba ni moja ya vituko vya mjini, Unawezaje kujaza radi kwenye jezi yote, Neno linaloonekana ni M Bet

Tuache unafiki, Hizi jezi za Simba kwa muonekano zina tofauti gani na za mwaka jana, Zaidi mwaka huu zimejazwa radi

Picha za waliovaa jezi ni wale wenye miwili wa Six pack at least zimewafit, Sasa wewe na Mimi na miili yetu ya milima na mabonde ndio Itakuwa kituko kamili

Ubunifu Tanzania ni Sifuri, Jezi zote za ulaya zimetoka mnashindwa hata kucopy ya Team moja wapo kimuundo mkabadili Rangi tu

Sasa miezi yote hii mnatoa jezi ya kishamba namna hii

Ule muundo wa chini wa hizi jezi mpya unawachoresha baadhi ya wanaume wowo zao

Ni dhahiri ule muundo wa chini wa jezi unawafaa watu ambao ni models of na wenye six pack zao, Wengine zitawachoresha wowo
 
Watu mnapenda kuponda Kila kitu zile ni jezi za mtoko uanaweza Vaa popote pale na ukaoneka smart acha ushamba
 
Hi jezi ni kituko kwanza Simba wanatoka katika asili yao ya Red & White

Kwa timu kubwa kama simba ilitakiwa wawe wanashindanisha wasanii wa kuchora ili kupata jezi Mpya wangekuwa wanapata jezi bora kabisa kila mwaka

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vunja bei amejua kukomeshaaaa. Nchi imepokea Vazi la Taifa rasmi.


Mrembo unamuona kaka YAKO mleta mada?

Aah wanaume tuna safari ndefu
 
Ko ulitaka zichorwe picha za mafuvu ya hakina kinjikitile Ngwale , maghofu ya misukule na ramani za mitaa ya sangamwarugesha , Tingirima na nyankomogo kama zilivyo za utopolo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…