Jezi za Simba zimeletwa kwa awamu ya pili?

Nimeona pale sinza kwa fredi mkinga foleni kubwa sana nikacheka sana mtu timamu na akili zake hawezi kuunga foleni kisa hezi.

Na ukiangalia wengi kariba zao ni wa huko kwa mfuga mbwa, mbagala, buza na nk.

Ukinga huo watu wa masaki na mikocheni hawafanyi
 
YANI MUAFRIKA NI MUAFRIKA TU... vunjabei sijui huu utahiraa kautoa wapiii kweli anasema kabisaa tatizo ni usafiri???? watu wanauziwaa bei ya ulanguzi jesi kesho tu fake kibao zitajaa mtaani shida sanaaa
 
Bahati?????Unajua unachosema kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bahati tyuuu, afu sasa mnampa sifa yeye kila mda ni kufumua shuti, sio taifa, wala club,. Ndo maan hata na vipers aliwaangusha, tatizo amelewa sifa, anadhan kila siku ni j2 lol
 
Habar Wana jamvi,

Niende kwenye mada moja kwa moja wiki iliyopita jezi za Simba zilizinduliwa ila baadhi ya watu tulikosa Na walisema baada ya siku mbili Sasa jamani nauliza VP zimekuja Tena kwa awamu nyingine ili nikachukue kabla ya jumamos
Vaa hata jezi ya Man U au Arsenal , zinatosha mkuu
 
Bahati tyuuu, afu sasa mnampa sifa yeye kila mda ni kufumua shuti, sio taifa, wala club,. Ndo maan hata na vipers aliwaangusha, tatizo amelewa sifa, anadhan kila siku ni j2 lol
Leo ni Jumapili ukiangalia saa shauri yako
 
Acha tukatangaze sport pesa pole m bet
 
Habari yako ndugu yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipoooooh, kwan fei toto kacheza nn leo??? Km hakuwepo vile.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipoooooh, kwan fei toto kacheza nn leo??? Km hakuwepo vile.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikwambia utapasuka ukachukulia poa ona sasa umeshindwa kula🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…