Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Wasipoweka rangi ya Simba kwenye hiyo mijezi yao ya kiqumer, wanaYanga tu wajiandae kwenda kushangilia hilo litimu la kisengerema.[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]

Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
 
Liiambie hilo sengerema linafikiri tunaongelea timu ya Taifa hapa, nyambaf zake. Hiyo mijezi ya Yanga nani ataivaa pamoja na kwenda uwanjani kushangilia hilo litimu la Yanga?
Hapa tunazungumzia timu sio bendera.
 
Wangemtafuta DISMAS TEN awabunie jezi nzuri ya Taifa ambayo hata wachezaji wakivaa adui anaogopa sasa hizo mbona hazitishi zimekaa kaa kidiplomasia sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sure mzee..nimecheka kindezi
 
Timu za bongo kuanzia vilabu hadi timu za taifa zinachanganya sana mashabiki kwa jezi zao. Siku timu ya taifa inacheza na mashabiki kujaza uwanya huwezi kuipata rangi. Kila mtu anakuja na kachumbari yake na kufanya uwanja kutokupendeza. Ulaya huwa hata kwenye majukwaa wanakaa kwa rangi. Sasa timu hazina jezi ya kudumu ambayo mashabiki na wachezaji wanatikiwa wavae uzalendo ndio unaanza kuharibikia hapo
 
Mi Simba uwanjani sikanyagi tena na kamwe sintashabikiwa Taifa Stars,kesho nashabikia Egypt ,nitashabikia Algeria,Kenya na Senegal,timu yoyote ya kimataifa itakayocheza na taifa stars kwa hiyo jezi ya Yanga nitanunua jezi la taifa hilo
 
Sio kweli. Hapa tunazungumzia jezi sio timu.

Rangi za jezi hutoka wapi kama sio kwenye bendera ya taifa?
mhe. rais kasema kuwa ile sio rangi ya njano bali ni rangi ya dhahabu na akaagiza mpaka zile nyimbo za primary kule watoto wanaziimbaimba zifanyiwe marekebisho.......kwa hiyo hii jezi ya njano inawakilisha vyura na sio rangi iliyopo katika bendera ya taifa
 
Na wale tunaotoka Mbeya City rangi yetu ya Kwaresma-Zambarau mbona siioni?
 
Wangemtafuta DISMAS TEN awabunie jezi nzuri ya Taifa ambayo hata wachezaji wakivaa adui anaogopa sasa hizo mbona hazitishi zimekaa kaa kidiplomasia sana
Kwa rangi ya jezi hizo za ugenini Taifa stars haivuki kundi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…