Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

makonda ana ndevu na kitambi kumbe?? sasa mbona amekunja uso kama ana susu gogo gumu?? sijamuona huyu jamaa zaidi ya siku tatu sasa ila nadhani ni vile magu alikuwa na wafanyabiashara....
 
Wamebugi hawa chichiem. Rangi ya njano tena 😳. Jezi za njano ni mbaya hazina mvuto kabsaa. Bora green dark.
 
Wangefanya kama za Argentina away jersey ni nzuri sana. Jezi za njano haziwapendezi kabisa.

Wasipoweka rangi ya Simba kwenye hiyo mijezi yao ya kiqumer, wanaYanga tu wajiandae kwenda kushangilia hilo litimu la kisengerema.[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Mkuu unajishushia heshima,tangu lini jezi ya timu ya Taifa ikawa na rangi tofauti ya bendera ya Nchi?
 
Yanga ni timu ya wananchi, simba asiloa yake mabeneru.
 
"Hata hapa Dar es salaam, ukimatwa ukapelekwa kituo cha Polisi kwa uzururaji au makosa fulani, nitawauliza polisi mtuhumiwa amevaa nguo gani, kama amevaa jezi mpya ya Taifa Stars, ataachiwa" - Paul Makonda.

Toa maoni yako
 
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
Ukiambiwa Yanga ni Timu ya wananchi,hii ndiyo maana yake,Kama ulikuwa huelewi ninaimani kupitia hizi jezi umepata abc
 
"Hata hapa Dar es salaam, ukimatwa ukapelekwa kituo cha Polisi kwa uzururaji au makosa fulani, nitawauliza polisi mtuhumiwa amevaa nguo gani, kama amevaa jezi mpya ya Taifa Stars, ataachiwa" - Paul Makonda.

Toa maoni yako
Utoto
 
Mimi nasema hivi kama hawa wapumbavu wa TFF hawataondoa hizo rangi za Yanga kutoka jezi ya timu ya Taifa, basi hiyo timu yao wawapelekee Yanga wakaishangilie badala ya kutulazimisha kuishangilia Yanga kiujanja!!!!
 
Hizi ni bangi sasa,hizo si rangi za Yanga niza bendera ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…