Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Kwa hiyo yanga tunaweza zitumia kwenye shughuli zetu za uwanjani mkuu!!?[emoji847]
 
Tangia wazindue jezi walizoziita ni za Taifa huku zikifanana na jezi za ombaomba (Yanga) naacha rasmi kuishabikia nchi yangu. Hivo nimeanza maombi ya kuiombea mabaya, ifungwe,ifungwe ifungwe kabisa
 
Shirima unawaza vibaya sana.

So kimsingi unamaana Simba kwako kama timu ni bora kuliko Taifa, mapenzi yako kwa uSimba ni makubwa kiasi cha kuombea mabaya kwa Taifa.

Anyways hupangiwi mkuu, goodluck kwenye maombi yako
 
Tukishaanza hizo bifu basi tegemea tutasonga zaidi ya hapo. Bado bifu la Ufupi na Urefu,
Watu weupe vs Weusi,
Wanene vs Wembamba,
Masikini Vs Matajiri,
Waliosoma vs Wasiosoma,
etc
 
Tukishaanza hizo bifu basi tegemea tutasonga zaidi ya hapo. Bado bifu la Ufupi na Urefu,
Watu weupe vs Weusi,
Wanene vs Wembamba,
Masikini Vs Matajiri,
Waliosoma vs Wasiosoma,
etc
Shida sana mkuu. Watu wanachukulia mchezo mchezo hawajui nini kinakuja mbele yaani
 
Siyo lazima uvae......
Au katafute jezi za simba, liverpool na Manchester zina rangi nyekundu
 
Utakuwa mkenya wewe...na tunasema " upumbavu ni sawa na kipaji cha ufupi ama urefu".
 
Ka mie sinaga uvivu Mtani na ndio sababu nina jezi nyingi za Yanga kwa rangi tofauti.
Hebu nipatie na mimi jezi ya Yanga nataka niitundike nyumbani ili siku nikitaka kugombana na mtu naingalia kwanza jezi ya Yanga ili inipandishe hasiraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Haya majezi kuna rushwa.. haiwezekani timu ya taifa iwe na jezi mbaya kuliko za Yanga. Yanga ni Addidas halafu taifa sijui mdudu gani huyu UHLsport.
 
Hebu nipatie na mimi jezi ya Yanga nataka niitundike nyumbani ili siku nikitaka kugombana na mtu naingalia kwanza jezi ya Yanga ili inipandishe hasiraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hahahaaa. Nakuletea baadae japo nawaza tu isije kuwa kinyume chake kwamba ukiiangalia hiyo jezi unajikuta hautamani hata kumkasirisha. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaa. Nakuletea baadae japo nawaza tu isije kuwa kinyume chake kwamba ukiiangalia hiyo jezi unajikuta hautamani hata kumkasirisha. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Aaah wapi bana unajua hizo rangi yaani njano na kijani ni rangi za stress πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…