davisoni
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 410
- 435
Habari zenu,Nimepata taarifa toka kwa jamaa,asema Kuna jezi mpya za wanna njano zinashushwa godown muda huu chang'ombe opposite na ICD ya Azam karibu na Sokota,ushushaji bado unaendeleaje,inavyosemekama wenye mzigo wameprit ili zipelekwe kariakoo.
Je hii ni sahihi kwa uchumi wa nchi?,
Hivi vitu Kama hivi vinapitaje bandalini huku vikiwa na utata?
Godown linatazamana na geti la Azam(chang'ombe), love na geti la bruu.
Je hii ni sahihi kwa uchumi wa nchi?,
Hivi vitu Kama hivi vinapitaje bandalini huku vikiwa na utata?
Godown linatazamana na geti la Azam(chang'ombe), love na geti la bruu.