Habari zenu,Nimepata taarifa toka kwa jamaa,asema Kuna jezi mpya za wanna njano zinashushwa godown muda huu chang'ombe opposite na ICD ya Azam karibu na Sokota,ushushaji bado unaendeleaje,inavyosemekama wenye mzigo wameprit ili zipelekwe kariakoo.
Je hii ni sahihi kwa uchumi wa nchi?,
Hivi vitu Kama hivi vinapitaje bandalini huku vikiwa na utata?
Godown linatazamana na geti la Azam(chang'ombe), love na geti la bruu.
Una uhakika gani kuwa sio za halali!?Habari zenu,Nimepata taarifa toka kwa jamaa,asema Kuna jezi mpya za wanna njano zinashushwa godown muda huu chang'ombe opposite na ICD ya Azam karibu na Sokota,ushushaji bado unaendeleaje,inavyosemekama wenye mzigo wameprit ili zipelekwe kariakoo.
Je hii ni sahihi kwa uchumi wa nchi?,
Hivi vitu Kama hivi vinapitaje bandalini huku vikiwa na utata?
Godown linatazamana na geti la Azam(chang'ombe), love na geti la bruu.
Habari zenu,Nimepata taarifa toka kwa jamaa,asema Kuna jezi mpya za wanna njano zinashushwa godown muda huu chang'ombe opposite na ICD ya Azam karibu na Sokota,ushushaji bado unaendeleaje,inavyosemekama wenye mzigo wameprit ili zipelekwe kariakoo.
Je hii ni sahihi kwa uchumi wa nchi?,
Hivi vitu Kama hivi vinapitaje bandalini huku vikiwa na utata?
Godown linatazamana na geti la Azam(chang'ombe), love na geti la bruu.
Dah , ushatia kitumbua cha watu mchanga mkuu, siyo poa
Rumumba = Lumumbamkuu, waoneeni huruma hao rumumba fc (kum radhi Yanga).
Bila shaka na wewe utakuwa mwizi maana haiwezekani watu wanafanya uhalifu halafu wewe unawatetea.Sio poa kabisa watu wanatafta lizik we unaleta umbea watu kama nyie mtakuja kufa kam mbwa
Najua mkuu umechokoza ili nitililike,ok.ngoja nikuridhishe,Sio hapo silence ocean,mmiliki wa godown ni Arif na Wala hakuna shughuli za gsm,pia mzigo umeingia kwa kupitia kampuni ya Tosh(taarifa toka kwa jamaa)mbozi road hapo godown la silent ocean.... hilo godown ni la wadhamini wa yanga ambao ni gsm..
gsm ameingiza jezi za yanga ila tunamuona mwizi... yeye ndie aliepewa tenda..