Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi)

Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi)

Joined
Aug 4, 2014
Posts
20
Reaction score
36
Mashabaki wengi huwa wanapenda kulalamika kuwa jezi sio bora ila leo napenda kuwapa neno kidogo.
Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi) ni kama simu tu jinsi tunavyoona zinavyouzwa kwa bei tofauti n hapo kinachotofautiza bei ni quality.

Huwez kupata high quality jersey kwa 40000/=

Hii kitu kwenye marketing inaitwa MARKERTING SEGMENTANTION. Hapo wanatumia Demographic Segmentation (hapa factor ni income) . Kipato cha watu wengi ni kidogo hivi kama mzalishaji huwezi kuzalisha jezi yenye KIWANGO KIKUBWA SANA ambayo watu wengi hawatoweza kununua.

USHAURI
Wazabuni wajitahidi kugawanya soko kwa kuzalisha jezi ambazo ni za aina mbili kwa dhamani= kwa maana ya kuwa moja yenye ubora mkubwa (High value hence high price) na nyingine yenye ubora wa kati ili kukidhi mahitaji ya kila kundi.

Mfano hai: Nilishuhudia jezi ya Simba mwaka jana ikiuzwa kwa shilingi laki sita hadi laki tatu.
 
Wanataka Adidas kwa elfu35 pumafu! Ulaya jezi za mashabiki zinauzwa hadi paundi 80, na bado ulaya jezi anayovaa mchezaji ni tofauti na anayovaa mshabiki kwa ubora, ya mchezaji ni ghali zaidi.
Bongo jezi ya mchezaji ndio hiyo hiyo ya shabiki
 
Naam
 
Back
Top Bottom