JF acha utani bana!

JF acha utani bana!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Hii theluji inayo dondoka kwenye screen yangu inanipa ubaridi wa kufikirika tu.
Niko dala dala, joto ni balaa!
Na jasho ndo latokota....
 
Mheshimiwa Ndalichako hebu njoo huku jf uwatoe wanafunzi wako vilaza
 
Back
Top Bottom