masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Hii theluji inayo dondoka kwenye screen yangu inanipa ubaridi wa kufikirika tu.
Niko dala dala, joto ni balaa!
Na jasho ndo latokota....
Dah kweli mkuu.Hapa ndipo unatambua umuhimu wa Mwl Frank Msingwa
Na si umeona kafimbo hako?Mheshimiwa Ndalichako hebu njoo huku jf uwatoe wanafunzi wako vilaza
ha haha nunu kitaulo jifuteHii theluji inayo dondoka kwenye screen yangu inanipa ubaridi wa kufikirika tu.
Niko dala dala, joto ni balaa!
Na jasho ndo latokota....
Ni kifimbo cheza!mi nimependa kafimbo kanakaa vizuri
ha ahaha tunashukuru jfNi kifimbo cheza!
Jasho na theluji papo!