Moto gani wa mafisadi uliowawakia? kuwasema tu? , sijaona aliyeenda mahakamani, aliyerudisha mali zetu.Kama kusemwa ukweli wanasemwa mkuu, is always topic of the day! hii inakufurahisha mkuu?
Ushindi gani huo? naona kama wameweka iwe hivi ili wawapate watu fulani wa kusema 'tunawashinda' kwa kuwasema!