JF Arusha Wing nimewakubali...ntarudi tena!!

JF Arusha Wing nimewakubali...ntarudi tena!!

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,842
Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya wale wa Arusha. These guys wako smart and generous...try them na utaniambia...I promise u guys nikipata nauli tena ntarudi Arusha.

c.c PakaJimmy, Preta,[MENTION]blakiwoman[/MENTION], Cantalisia, Filipo, Arushaone, Valentina, [MENTION]liverpool fc[/MENTION]....na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa...we usijali kuhusu nauli,anytyme ukitumiss watu wa half london twambie turushe nauli hata kwa bluetooth. Tumefurahia uwepo wako,karibu tena na tena
 
Hahaaaa...we usijali kuhusu nauli,anytyme ukitumiss watu wa half london twambie turushe nauli hata kwa bluetooth. Tumefurahia uwepo wako,karibu tena na tena
Usijali Mungu akipenda will be back
 
Tutaja jamani wala msijali dada YNNAH njoo unichukue plz tar 4 nataka niudhurie kwenye.................yako tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom