Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya wale wa Arusha. These guys wako smart and generous...try them na utaniambia...I promise u guys nikipata nauli tena ntarudi Arusha.
Hahaaaa...we usijali kuhusu nauli,anytyme ukitumiss watu wa half london twambie turushe nauli hata kwa bluetooth. Tumefurahia uwepo wako,karibu tena na tena
Hahaaaa...we usijali kuhusu nauli,anytyme ukitumiss watu wa half london twambie turushe nauli hata kwa bluetooth. Tumefurahia uwepo wako,karibu tena na tena