JF Arusha Wing nimewakubali...ntarudi tena!!

Ahsante shemu inaonesha ni jinsi gani ulivyo makini na hiyo kitu safi sana msalimie dadaangu kipenzi Lady doctor mwambie nimemmisi sana akae mkao wa kunipokea huko chuga

dogo lake nipo safarini tuombeane kheri December niwe chuga nikupokee, love you sana my lady!
 
Last edited by a moderator:
Mmh...yani wewe dawa yako limbwata,sijui mke mwenza yuko wapi anielekeze vizuri

hahaha mke mwenza huyu shem wangu dawa yake ndogo, nitafute chemba nikupe, haiwezekani autese mtima wako hivihivi!
 
Dar Wings wanajidai wako bize sn jaman mara moja kwa mwezi itakua inapendeza km tukimeet.

 
Last edited by a moderator:
maarif wa Chuga wanabamba sana...

si utani arif. wanabamba mpaka raha. Ziko mtu kama kumi hivi zina mshikamano balaa. ukienda chuga hukosi kama saba hivi za kulipa nao kodi via vileo. Ila naamini chuga kuna members lukuki zinajificha na kula umaarufu wa bure wa chuga wing.

Big up PJ and co.
 
Dar Wings wanajidai wako bize sn jaman mara moja kwa mwezi itakua inapendeza km tukimeet.

Dar wako bize na mafoleni dadadadeki. Imagine mtu atoke Mbagala aje Tegeta kukutana... kabla hajafika mwenge watu wameshalewa.

Ngoja nianzishe mchakato wa tawi la Mbezi beach, Kawe. Tegeta, Boko Bunju.... Tunakutana Mwenge wakati tunasubiria foleni ikatike.

Hili tutaliita bagamoyo road branch

Aliye tayari anyoshe mikono juu.
 

Maisha yenyewe ndio haya haya.....as long as hakuna mtu anang'ata mtu...........wayiiiii..........

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…