Ninasubiri ruksa ya wife Lady doctor tu kamanda.
we arusha one kumbe juzi pale mlikuwa wana jf mbona hukunitambulisha??? Hata mimi si mwana jf ulinitenga.
Wapi marejesho?
Usijali kuhusu nauli ukijisikia kurudi sema tu Preta atafanya logistics zote...
Umejificha wapi weekend hii...twende zetu tembo
aaagh........hii post mbona sikuiona mapema.........
Mkuu ondoa shaka....mshakuwa ndugu zangu
Pole! Ndio natoka Duluti kukumbushia enzi!
sometimes unamambo ya div 5 sana... asee ntakucheki mida, maeneo ya sebuleni..Mkuu umeibuka kama jipu!
Alafu mume ulienipa simsomi kabisa ati....
aaagh........hii post mbona sikuiona mapema.........