Jf-arusha wing...safari updates

Najua mtu wa mwisho unayetaka kumwona ni mimi babu yako. Ndo maana natafakari kama ntapata mapokezi mazuri toka kwako. Na nnajua ni kitu gani kinasababishe usinipende. Lakini taka usitake, utaniona, kwa lazima!

Bado siiipatiii picha ile cku tukufu ya kumuona babu ..... a.k.a babu teeneger! u have my love,,karibu sana
 
Good idea! nipo ARS, add me too!!
 
Safi sana pj tukipata nafasi tutachomka tuje huko

mdogo wangu u r most welcome. hii ni maalum sana na kwa vipato vyetu wabongo inaweza kuwa once-in-a-life-time!
Siti yako(no C3) inatengwa rasmi tangu sasa na utakalia siti moja na Lilyflower! Nakuhakikishia kuwa hana shida na hatutafuatilia maongezi yenu.
 
Good idea! nipo ARS, add me too!!
Kiongozi i value yr decision, lakini pia inaonyesha wewe unaguswa na kitu "urafiki. tutaku,pm ili tupange siku ya kikao.
Keep in touch mdogo wangu.
 
LOL mimi huwa sisafiri mwisho wa mwaka. mtanikuta dar nawasubiri.msisahau kuja na maparachichi.
 
safi sana PIIJEEII!

FANYA KILE AMBACHO DAR KINATOKEA KILA SIKU.....!huku dar tunaish kama FAMILIA MOJA....!kwa sasa sisi ni zaidi ya 'mtandao'.natarajia wanachama wa arusha mtaifikia level ya wanachama wa dar very soon!

ONE LOVE
 
lakin pia PIIJEI ukitoa mwaliko kwa memba yoyote yule aliyopo tanzania au nje aje ARACHUGA sisi tupo tayari na tunakuja tu!
jaribu kuupanua wigo wa mwaliko ili na sisi wanyalu tuje arusha
 
lakin pia PIIJEI ukitoa mwaliko kwa memba yoyote yule aliyopo tanzania au nje aje ARACHUGA sisi tupo tayari na tunakuja tu!
jaribu kuupanua wigo wa mwaliko ili na sisi wanyalu tuje arusha
Mkuu, ukiisoma kwa makini pale juu utaona mwishoni kuwa nawakaribisha watu wote ambao ni members bila kujali kama ni wa ARACHUGA!
mKUU KARIBUNI SANA, MAUZOEFU YENU YANAHITAJIKA SANA!
Confirm in case!
 
Pj hili ni wazo zuri sana,yaani kila siku nilikua naombea litokee hili jambo kwa wakati muafaka,yaani hizo tarehe nilipanga kuwa Arusha.
kaka niweke ktk list,cant wait to meet you guys
 
tupo mingi sana olupayani . jambo la busara sana . tutapanga hata jinsi ya kufanya mambo ya kimaendeleo. be blessed PJ
 
Mkuu, ukiisoma kwa makini pale juu utaona mwishoni kuwa nawakaribisha watu wote ambao ni members bila kujali kama ni wa ARACHUGA!
mKUU KARIBUNI SANA, MAUZOEFU YENU YANAHITAJIKA SANA!
Confirm in case!
ok ok!ngoja nikae na wadau!kimsingi tulikuwa na plan kama hiyo na tuliidiskass sana,ngoja tuone kikao cha leo tutaamua nin
 
Nawaunga mkono,

nashkuru kwmb unatuunga mkono mkuu wangu..sasa unamaanisha utakuwepo au? kama tutakuwa pamoja bosi wangu ingia PM ili uni2mie namba ya cm.
Vinginevyo mkuu, keep in touch and i appreciate yr warmth.
 
Pj hili ni wazo zuri sana,yaani kila siku nilikua naombea litokee hili jambo kwa wakati muafaka,yaani hizo tarehe nilipanga kuwa Arusha.
kaka niweke ktk list,cant wait to meet you guys

Ooh Cheusimangala,
Itakuwa raha ya ajabu sn kuwa na wewe, na wengi huwa wanakuita 'dream-lady, maana huwa kukuona ni kama ndoto.
Nimeshakuingiza kwenye table tayari, na sasa ingia PM Unitumie nambari yako for comm purpose!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…