....now here comes my very own byutifu girl!
Waambie na kisha ubaelezee.
Wadau, Preta ndiye secretary wa komitii yetu adhimu.
Protoko imezingatiwa.
duh na maziwa tafadhali
iiko.keiyaa lalashe.nimeifurahia hiyo.bahati mbaya sitakuwepo a-town tarehe hizo.
na mm nitapenda kujumuika ila napenda kufahamishwa huko mbugani tutalala hotel za nyota au tutatumia hostel manake kwa ninavyoelwa kila kitu hufanyika kwa booking , kama tutalala hostel mtanihakikishiaje salama wangu mi bado bikira
Mmmmmmh mnanitega kwa hili wakuu... tatizo ntakua pande za kaskazini kuanzia tar 23.. jioni ila kama kawaida raha zinazopatikanaga huko muda huwa haunitoshi kabisa ila tutawasiliana
Mm binti ila nashukuru kwa ufafanuzi isipokuwa pj kataja maeneo matatu hayawezi kufikika cku moja kwa kuangalia vivutio labda rallyni day trip mkuu....hata hivyo hotel ni nyingi sana booking itafanyika kama ikilazimu
Dadaangu, kama ni mzoefu JF ina watu wenye upendo sana, yaani ukichokozwa hatutakaa pembeni na kutizama,bali tunatumia falsafa ya .."You hit me-We hit you!..all in all hakuna kugombana tukiwa in physical contact...Kama kuna mabifu yataishia huku kwenye keyboard!na mm nitapenda kujumuika ila napenda kufahamishwa huko mbugani tutalala hotel za nyota au tutatumia hostel manake kwa ninavyoelwa kila kitu hufanyika kwa booking , kama tutalala hostel mtanihakikishiaje usalama wangu mi bado bikira
Mm binti ila nashukuru kwa ufafanuzi isipokuwa pj kataja maeneo matatu hayawezi kufikika cku moja kwa kuangalia vivutio labda rally
Jitahidi uwahi babaake!Mmmmmmh mnanitega kwa hili wakuu... tatizo ntakua pande za kaskazini kuanzia tar 23.. jioni ila kama kawaida raha zinazopatikanaga huko muda huwa haunitoshi kabisa ila tutawasiliana
karibu sana ila nimejitahidi kuipitia thread mara mbili mbili nikaona kwamba ameandika...mbuga yoyote ya wanyama iliyopo pande ya huku (kaskazini).....ninavyoelewa kuna tarangire, manyara, ngorongoro na Momela, ambazo zinaweza kufikiwa kwa siku moja na kurudi bila kulala, serengeti ndio inaweza kuwa ishu lakini pia haishindikani ni mambo ya mipango tu.....most welcome
Woooow....My girl again!
Bora upo mwaya katibu wangu!
Please endeleza mawasiliano, huenda mi nikatoka in short time!
usijali boss wangu....kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa
Kaka, u mzima lakini?Utanisindikiza mbuga ya wanyama?
BW/BIBI SAIMA KARIBU SANA.nataka kujumuika nanyi pia