donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mi napendaga tu ushua wa Abby charms, life analoishi na washua wake hua natamani nije kufanikiwa ili wanangu Gian na Gianna wake waenjoy. insha'Allah [emoji2969][emoji2969][emoji120][emoji120]
Chai😆phina kasoma hapo green acres, na pale st. maria goreti
pisi ya chuga, sio mmaasai kweli?
Dogo Abby ana mengi ya kujifunza kwa PhinaAisee.. kwahiyo huyu Abigal ana mlima wa kupanda!?
AbigalView attachment 2922365
Wanajikutaga wazuuungu [emoji23][emoji23][emoji23]