Hii ni hatari mawazo ya watu yana thamani sana yanaweza kuibwaMkuu hakuna security kwani ni open competition so ukiwa agreed unashiriki.
Nyooooooooo....!!Mkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.
Wazo zuri, utakapokuwa tayari tutafanya sponsorship ya event.Habari wana JF.
Wakuu nimepata wazo la kuendesha shindano la mawazo ya biashara humu ndani. Wazo limekuja baada ya kuona wengi tuna mawazo ila hatuna mtaji. Hivyo mwenye wazo bora akiibuka mshindi atapata zawadi kama mtaji wa wazo lake.
Nimeleta uzi huu kwa kuomba ridhaa kutoka kwa moderators Invisible na wenzake juu ya hili wanasemaje na wadau wengine naombeni mchango wa mawazo juu ya hilo kabla sijalizindua.
View attachment 364057
Kweli wabongo hawapendi kazi ingekuw stor y ngono au ya domond ingekuw n imegika 1k saizi.namna lazma tuwatoe watu majumbani wakapige kazi
Kweli mkuu! Lakini naona ma mod wamekaa kmya, wengi wetu hatutaki kusapti vtu kama hv et kwa 7bu hatuna majina makubwa, hii mbaya sana. Angekuwa @regmengi wangekbl fasta hata angesema kiingl elfu 50. Wamesahau sasa suala la pesa limekuwa ni dhamana nyepesi sana ndyo maana unanua gari ulaya huku umekaa home na unatumiwa hadi bongo.Mkuu Kwa sababu za kukosa uaminifu Watu wengi wanaogopa kufanya biashara Na mtu wasio mjua.Tunasahau kwamba huwezi kupata pesa mpaka utoe pesa.Huwezi kuvuna mpaka upande.Hao wapendao story za ngono Na "domond"watakuja kuwa wateja wako usiwastue utalala wewe.
Mbona hakuna mahali ambapo amesema anahitaji au ana upungufu Wa mtaji?Hata mi nimemshtkukia wakubwa ..