Iliwahi nitokea hii, hatukua tunabishana tulikua kwenye thread moja tunasoma story inaitwa Peniela. Alikua ni mdada akielekea kwenye semina fulani siwezi itaja hapa.