"JF cellebs"na ndoa/mahusiano yao!!Najiuliza tu!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Inajulikana na watu wanadai kuwa wataalam wa mahusiano,waimbaji wa nyimbo za mapenzi,wataalam wa saikolojia n.k,hao wote ni wataalam sana wa kutoa ushauri na burudani/ushauri kwa wanandoa au walioko kwenye uhusiano.Lakini linapokuja suala la mahusiano yao ni ya hovyo sana!Hata wanapopata migogoro huwa hawawezi kuyafanya yale wanayowashaui watu.Sasa hata humu wapo wanachama humu ambao ni wataalam sana kwenye kutoa ushauri,halafu wna ndoa au mahusiano,kwa mtazamo huo je na ndoa zao ni za hovyo?Au kwao ni tofauti?I'm just thinking!
 
Jipiteie tu dada yangu...kinyozi hajinyoi ebo!!!!
 
hahah dah kwa mara ya kwanza kwa siku ya leo nimecheka baada ya kazi ngumu na kutukanwa na boss
 

Hii ni kweli hata mafundi selemara au mafundi nyumba ukiangalia wanavyo ishi utashangaa
 

ukweli ni kuwa mganga hajigangi.............na ndiyo maana hata kwenye maandiko matakatifu tunaagizwa tusikilize mahubiri lakini kamwe tusifuate yale ambayo mhubiri huyatenda kwa sababu ni kinyume cha yale anayoyahubiria...........
 
Mmmhhh we nae hujamaliza tu chuo? Maana hizi research zako haziishi kila siku

na wewe mpenzi wangu Dena huu utafiti wako uliuanza lini wa kujua ya kuwa hajamaliza shule wakati mimi tayari nilikwishampasisha na kumpa cheti cha awali cha utafiti mdogomdogo kama huu?
 
hahah dah kwa mara ya kwanza kwa siku ya leo nimecheka baada ya kazi ngumu na kutukanwa na boss

huyo bosi anayekudhalilisha hivyo kwa matusi hafai fikiria kuhamia kwenye kampuni yangu............mimi situkani mtu..........ninaheshimu sana utu wa mtu......
 
na wewe mpenzi wangu Dena huu utafiti wako uliuanza lini wa kujua ya kuwa hajamaliza shule wakati mimi tayari nilikwishampasisha na kumpa cheti cha awali cha utafiti mdogomdogo kama huu?

Mwalimu shikamoo!Teh,teh,teh,teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…