JF Chat: All members chat

Kwa sasa mimi ni Mpweke Sana tangia umenipa na kupata taarifa ya kuwa umezuiliwa kutembelea jukwaa la Siasa. ephen wangu nakupenda sana ephen wangu.wewe ndiye furaha ya moyo wangu.wewe ndiye nuru yangu.wewe ndiye taa niwapo katika giza .wewe ndiye ngazi niwapo chini.wewe ndiye tumaini nikosapo tumaini.wewe ndiye Pendo la moyo Wangu.ephen wangu waridi wa ❤️ wangu nakupendaa sana ephen.nakupenda kama ulivyo .nakupenda hata ukijipaka vumbi usoni, mimi bado nakupendaa hivyo hivyo.
 
Lucas mods wamegoma kunifungulia halafu uzi wenyewe wameufunga
Nisaidie kuniombee wanifungulie jukwaa hilo
Namiss kusoma nyuzi zako! siku hizi hata sicheki sana kama mwanzo🥲
 
Lucas mods wamegoma kunifungulia halafu uzi wenyewe wameufunga
Nisaidie kuniombee wanifungulie jukwaa hilo
Namiss kusoma nyuzi zako! siku hizi hata sicheki sana kama mwanzo🥲
Ile siku niliona wamezuia hadi watu kutoa comment kwenye uzi ule .na kwa sasa mambo ni moto moto sana jukwaa la siasa. Nimekumiss sana ephen wangu
 
Hawezi kututenganisha! Mimi na wewe ni damu damu
Watabaki wakisubiri tuachane lakini ndio kwanza wanazidi kutuona
Watabakia kama mafisi wakitokwa mate mdomoni . ephen narudia kusema tena kuwa nakupendaa Sanaa lazizi wangu.nakupendaa kwa dhati ya ❤️ wangu woote.nashindwa nitumie maneno na kauli ipi ujuwe kuwa nakupendaa.nataka jukwaa zima mpaka uongozi ujuwe kuwa nakupenda sana na wewe ndiye uliyebeba na kushikilia furaha ya moyo wangu. Hata wakaroge njia panda bado nitakupenda zaidi na zaidi.
 
☺️Asante Lucas!
 
Lucas mods wamegoma kunifungulia halafu uzi wenyewe wameufunga
Nisaidie kuniombee wanifungulie jukwaa hilo
Namiss kusoma nyuzi zako! siku hizi hata sicheki sana kama mwanzo🥲
nilikuambia nini chakufanya ukapuuzia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…