Itakuwa nzuri bila shakaHujapata company tu mi mwenyewe hiyo ndo season ya kwanza kuimaliza sijawahi kumaliza season zaidi ya hiyo!.. jiulize kwanini nimalize..?
Na unavyopenda kula sasaKeshafika Sasa kazi kwako mpange mipango tule pilau sisi..
Dogo tulia basiππWe mwenyewe unahitaji msaada..π
πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee...Mie mnoko? π€£π€£π€£
Ntampata tu siamini kwenye marogeziπKaroge tu..π
Sijui nimuulize yeye mwenyewe kuwa nimuingie KWA gear Gani?Ni mmoko anamaanisha mmoja..π
Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment.πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee...
Letu litakuwa bora .. likipambwa na mmea β€οΈβ€οΈ
Awww .. im blushingi next time hata kakopa kalichokatika mie ntaunga na super glueOoh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment.
Siku hizi nafuatilia soap operas sanaInavyozidi utamu ndo unakolea..
Ety Dada kwenu kunae mbwa?Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment.
Ni opera mini za sabuniNazijua Sasa..π
Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja