JF Chat: All members chat

Niwatakieee usiku mwemaaaa Wajaaa nyiee, mashost kwa mashostitooo.
Leo mmejuaa kutupaaa rahaa, ambazo tuli zimic.

Mlalee unonoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usilale subiri 😂😂 m ndo naingia
 
Nimeshaomba mbona na yeye aje kuniomba msamaha
Halafu kumuomba mtu Msamaha sio kwamba tunakubembeleza Wala kukuomba we huoni kama umemkosea? Kwanini mnakua na huu utoto kwamba mtu aki like au akicheka kwenye Post ya Adui yako nae tayari ni Adui yako? Huo ni utoto. Kama huoni umuhimu acha. Sio kama unatufaidisha sisi. 😏😏
 
Mbona nimeshaomba msamaha na kuhusu Hilo la kulike sihusiki nalo mbona sina utoto huo na yeye mwenyewe nataka aje hapa kuniomba msamaha nimekuomba msamaha mara 5 hii sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…