JF Chat: All members chat

Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..🀣
Nina buy na ku selll... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unatumia time flame zote..?
leo sina kazi so naangalia candel za 30min na 15min then naingia kwemye 5min.. but picha naipata kwenye 4hour kama mzigo unashuka au kupanda.. hiyo AUDCHF nasubiri ifike juu kidogo nitupi lot tembo.. lazima ishuke
 
Haha! Bila Shaka time kubwakubwa ushazichungulia..
 
lazima uanze na timeframe kubwaaa.. usije sell wakati bar inakuonesha ina buy strong hapo utakalia msumali wa moto
Eti msumali wamoto..🀣

Safari ndefu hii angalia leo ijumaa vitu hushukaga hovyohovyo..πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…