JF Chat: All members chat

hakupendi mchumba mzuri ni yule anaekubadilishia life style unayoitaka umesema hutaki kitambi so kwanini unakuwa na double stand...?????
Umeongea point! Lakini kitambi sio kwamba nataka kibaki flat kabisa nop lazima kibaki kwa mbali cha babe wangu kulalia
 
Umeongea point! Lakini kitambi sio kwamba nataka kibaki flat kabisa nop lazima kibaki kwa mbali cha babe wangu kulalia
mpaka hapa mpenzi wako anatakiwa ashituke this is double double...😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…