Ngoja niitafuteInaitwaje hio ngoma
New rules, sema mdundo tu.Inaitwaje hio ngoma
Hii ngoma nimeipenda mno🙏🙏🙏
Nimefurahi kusikia hivyo☺️Hii ngoma nimeipenda mno🙏🙏🙏
Ngoma ipi umeipenda kuzidi zote?ahsante mchumba wangu....😁
Hapana! Siwezi kuweka ua zaidi nikijisikia kutoa kiatu nitaweka hata treni au ndegesawa kuanzia leo badili avatar yako weka picha ya ua sawa mchumba...?
Sasa hivi sijajisikia bado! Nikijisikia nitawekahaya change sahivi weka ndege
Hizo ndula ndio napenda sasa mwenzako☺️ huwa sipendi kufanya jambo linalofanywa na kila mtuunashindwa hata kuheshimu tundevu twangu tuwili...? badili basi ephen mi hizo ndula zanitisha!
Wewe hujui hata kubembeleza lohmh! mumeo kazi anayo janamuke libishi kama naniliu...😠
Mkulima hachagui jembe!sasa nikubembelezee huku uraiani kweli,fungua pm..