Ina maana Mkuu Rweye,unataka kutwambia kuwa we ni mfuga nyoka au?maana ni vigumu kuniingia akilini kuwa ulimfuatilia nyoka aliyepata kidonda na mpaka kushuhudia akifa.Sasa kama hivyo ndivyo yawezekana wakati unamwona nyoka huyo alishakaa na kidonda hicho kwa muda mrefu,lakini pia kama umefanya research ya suala hilo yawezekana ulienda snake park ambapo wale nyoka ni sawa na wanafugwa hivyo ni sawa na kufanya research ya jambo furani kwa kuku wa kisasa then ukaja na conclusion juu kuku wote yaani hata wa kienyeji ujue utakuwa wrong??Mi nadhani inategemea na nyoka mwenyewe kapata jeraha katika mazingira gani,na kidonda ni kikubwa kwa kiasi gani.