Salama kamanda shemeji na watoto wazima lakiniMmeamkaje wa ndugu?
We kweli kiazimbatata asubhi watu tusiwaze kazi eti kuchat..[emoji37][emoji37][emoji37]Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habal kinavyo jieleza hapo juu
Uz huu ni maalum kwa ajili ya kutakiana asubuh njema na kupiga mastory ya asubuh asubuh
Pia ni maalum kwa ajili ya kukalibishana kwenda kuoga na kukalibishana kunywa chai
Karibun wapendwa
Cc mbitiyaza
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado kidogo nakula ujana sijafanikiwa kumiliki hao watu unaowataja
Aisee pole sana mkuu tafuta mtoto hata mmoja mkuu then utulie ule huo ujana wakoMkuu bado kidogo nakula ujana sijafanikiwa kumiliki hao watu unaowataja
Lazma niufanyie kazi ushauri wako mkuuAisee pole sana mkuu tafuta mtoto hata mmoja mkuu then utulie ule huo ujana wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hayo ni matus ya reja ya reja mkuu nan amekuzuia kufanya kaz zako mkuuWe kweli kiazimbatata asubhi watu tusiwaze kazi eti kuchat..[emoji37][emoji37][emoji37]
Fanya hivyo bhana utakosaje katoto hata kamoja mkuuLazma niufanyie kazi ushauri wako mkuu
Sawa mama nakujaKaribuni kuoga π
Shemeji bdo amelala mbona simuoni humu?
Shemeji yako kasafir mkuuShemeji bdo amelala mbona simuoni humu?