mkuu achana na hao wenye wivu,walianza kushambulia uzi wa likes wamezodolewa sasa wanaanza personal attacks. Sisi tulio wengi tupo upande wako wala usijali mkuu Joseverest
Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na alosto ni kapeace na Joseverest. Weka kura yako..