JF Doctors hili ni tatizo gani kwa uume?

Ulikuwa jela?
Umeshea nguo na mtu alikuwa jela au anafanya kazi za kulala kazini kama mtu wa sokoni au daladala?
Je vinawasha sana na huwezi kujizuia kujikuna?
Kama ndiyo jaribu dawa ktk maduka ya dawa inaitwa Entezma kama sikosei
 
Ametoa warning au!!!!
Kuweni na u GT hata kidunchu
Piga picha yako ya nyapu yako uweke na warning uandike This Video is For Education Purposes only sawa?

edit:
unafikiri warning zinatumika hovyo? huwezi gundua hilo tatizo kwa kutazama picha tu, hii ni ku mis lead watu, kila mmoja atakuja na assumptions zake, haina msaada wowote.

Hizo dalili unakuta kuna magonjwa zaidi ya moja yana dalili zinazofanana na hii.

Tumia warning kuleta elimu, umeshafanya research umegundua ndipo ambatanisha na picha kutoa taarifa kuhusu ugonjwa, chanzo, dalili n.k..

cocochanel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…