Mkuu Pole,
Mama ana uzito kiasi gani, urefu?
Mama alijifungulia wapi?
Mimba ya miezi mingapi?
- Je, alikuwa na tatizo lolote wakati wa ujauzito?
-Je, Mtoto alikuwa na tatizo lolote wakati wa kujifungua?
- Mama alipoteza fahamu, mara baada ya kujifungua?
-Kuna dawa zozote anazotumia za muda mrefu?
- Je, mama alikuwa ana tatizo lolote la siku za hedhi(kutokueleweka)?
Hongera kwa kupata mtoto.
Kuhusu tumbo sijajua shida iko wapi. Labda angerudi kwa gynae wake. Ila kuhusu maziwa kutoka kama hana vidonda vya tumbo mpe uji wa mahindi mwepesi wenye pilipili manga. Works like magic. Maziwa yataanza kutoka. Ale vizuri pia na kulala vya kutosha.
Kila la kheri. Mungu awatunze wote.
Je amejifungua normal au c/section?maana binafsi I had my first born thru normal delivery sikuexperience hiyo kabisa,but with my second born thru c/section nilipata hiyo hali exactly as u explained.labda umcontact dr wake awape advise ila mi nilivumilia afta the first 3 days na hiyo hali ikapotea.

Mkuu lidaku, pole..
Habari njema mama kuendelea vizuri, ningeshauri mama kurudi hospitali, kuchunguzwa zaidi(kama kuna kuna shida yeyote. mfano kondo la nyuma kubaki, homa , n.k)
Mtoto:
Ni vizuri kuzingatia ushauri mliopewa na daktari..mf. Kumnyonyesha maziwa pekee kwa muda wa miezi 6, kupata chanjo, n.k.
nashkuru sana kwa mchango wako ndugu yangu ubarikiwe sana