JF doctors msaada juu ya blood groups

JF doctors msaada juu ya blood groups

duche boi

Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
30
Reaction score
11
Habari Za kutwa ndugu wana Jf, naomba kufahamu juu ya hili swala mpenz wangu ana AB+ namimi Nina 0+
Je, hapa kuna tatizo lolote katika safari ya kutafuta mtoto
 
Wataalam watakuja kuendelea zaidi,
ila hapo hakuna tatizo maana aina ya rhesus factor zinafanana(+)

Vilevile kuna maada nyingi zimeongelewa kuhusu swali lako, tafuta utapata maelezo zaidi.
 
Zaidi ya 85% ya binadam ni rhesus + kama ilivy kwenu

shida kidogo hutokea endapo mama atakuwa nega(-) na baba + tena mara nying ni kwa ujauzito wa pili! Na dawa zipo kuzuia hatar hiyo

Enjoy maisha mzee!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna shida kwa damu group AB+ na damu group A+ Katika kupata mtoto.
 
Shukrani Za dhati ziende kwenu ndugu zangu wana Jf , I love Jf, I love you wana Jf Na mungu awabariki sana

NB
Kwa wale ndugu zang ambao bado hawazijui blood group zao basi ni vyema kulifanyia kazi swala hilo Na kuwaza kutambua blood group yako. Siku njema jaman
 
Back
Top Bottom