JF doctors tafadhali naomba kujua ukweli kuhusu hili

Primitive

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
222
Reaction score
45
Kila ninapoamka na hangover nikinywa maziwa fresh naarisha sana! nilishaambiwa kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini na vilevile naelewa ya kuwa pombe (alcohol) ni sumu! je ni kweli kuwa kuarisha kunakonitokea ndo natoa sumu ya pombe??
naomba kujuzwa na wataalam tafadhali!
 
acha kwanza pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…