Jf dr msaada tafadhali:

Jf dr msaada tafadhali:

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kuna tatizo nahisi liko psychologically yaan nina hulka ya kuwaza sana na kujikosoa hata ktk issue za msingi na siipendi hali hii kwani inanifanya niwaze mbali na kufikwa na uwoga,kitu kinachoathiri Afya yangu na FUTURE.at large.Niliepukeje hili?
 
Una DEPRESSION!Depression inasababishwa na upungufu wa neurotransmitter serotonin kwenye ubongo!serotonin ndio neurotransmitter inayotupa furaha.Njia mojawapo ya kuepuka tatizo hili ni kujikeep busy jaribu kujichanganya na marafiki usipendelee kuwa peke yako muda mrefu!Ikishindikana nenda hospitali unahitaji antidepressants!
 
Nashukuru Dr nitalifanyia kazi wazo lako:
 
Hili tatizo ni kubwa sana kwa watu siku hizi.
 
Hapo ndugu natural remedy inafanya kazi na itakusaidia kuondoa tatizo kabisa. Wasiliana nami nikuelekeze namna utakavyopata msaada. 0768 955 185
 
Sijakuelewa. Hautaki kuwaza sana na kujikosoa? Baada ya kujikosoa unawaA mipango ya kujikwamua?
 
Mimi mwenyewe sijielewi ndo maana nikahisi ni la kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom