JF editors arrest in Article19

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Posts
2,802
Reaction score
614
[media]http://www.article19.org/pdfs/publications/around-africa-march-2008.pdf[/media]
 
Honestly, press like these makes me wonder "Will JF keep up the Integrity and Professionalism that the world is expecting out of US??"

WanaJambo wenzangu, this is a very high mark that we have set and now it is up to us to keep our heads up and straight and maintain..............

Mungu Ibariki JF, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki waTanzania.......
 
ila mamluki hatuwataki la sivyo mutakufa huku mkilia kama bwea mwe mwe mwe
 
Ningeomba kufahamishwa....

Hivi ile Media Council of TZ inawahusu pia Bloggers au ni kwa print media only?

Hiyo Article inazungumzia kutokuwepo kwa Laws governing ICT. nionavyo mimi ni bora zisiwepo. Hizo laws zikiwekwa zinweza kuwa misused kwenye uhuru wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…