JF Exclusive: Hukumu ya Dowans kama ilivyo. . Ijitegemee

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Nilikuwa nsoma mtiriko wa mtukio kuhuus sakata la Dowans.

nashauri ingekuwa vizuri muiache thred yenye kichwa habari tajwa hapo juu huru kuliko kuipachika ndani ya thread nyingine na hivyo kuwanyima wanajamvi picha halisi.

Napendekeza iacheni thread ya Hukumu ya Dowans kama ilivyo. . ijitegemeee

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…