JF Expert Members of all time

Nadhani wa kutoa list kama hizi at least awe hata na miaka kumi ya jf plus hao watu wengine siwajui kiukweli.

Huwezi kuwa serious kama List yako imemkosa hata Warumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiyo siyo fact ya msingi..tunaishi kwa uhalisia soma alama za nyakati mkuu
 
Ndio maana hapo chini kaongezea na “ongeza yako” it means hii ni jinsi anavyoona yeye!!!

Mshana [emoji736]
Sky eclat[emoji736]
Faidafoxy simuoni[emoji736]

Hizo zingine ndio naziona leo[emoji1437][emoji1437]
 
Chifu mkwawa moja ya wachambuzi waliobobea kwenye uwanja wa teknolojia humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…