Eti hilo jukwaa huwa lipo kweli?
Duh kumbe kuna ependeleo?Walituambia tuseme halipo,asa sijui ni kweli
Hata mie naona kuna kaupendeleoDuh kumbe kuna ependeleo?
Watu wanapotea saana Humble African hivi anaonekana kweli humu jf?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shibe kijijini memba aliyezamia afrika ya kusini miaka ya 2016 kama sijakosea alipata kuwa maarufu humu.simpati vizuri mkuu