JF FC-The Dream Team

naona first eleven imechaguliwa bila ya kuangalia viwango.Yaani hata mimi striker katika benchi sipo alafu mtu kama yoyo kapewa jezi,DUH!!!!!!!!!!!!1
 
Bila kusahau kamati muhimu sana ya ushangiliaji na upigaji vigoma vya kidedea...!

Wale wote ambao hawakuingia kwenye 1st Eleven na hawamo kwenye kamati ya ufundi wanahitajika sana kwenye kundi hili la ushangiliaji na kuipa hamasa
J-F-F-C-The Dream T. Hakuna kuchoka...!
 

JF vijambo haviishi nilipitwa na hii thread, hongera Balantanda.

Xpaster umenikumbusha yule mshangiliaji wa Reli ya Moro enzi zile aliyeitwa Yamungu. Mimi ni mshangliaji lakini hiyo JF FC ikivurunda nawazomea.
 
...Arrooo! Munareta UJangwani na Umsimbazi kwa ritimu ra Taifa?? mbona hamujachagua mchezaji yoyote kutoka ritimu ra Porisi au ra JKT? kwenda Chini Wote....!
 
...Arrooo! Munareta UJangwani na Umsimbazi kwa ritimu ra Taifa?? mbona hamujachagua mchezaji yoyote kutoka ritimu ra Porisi au ra JKT? kwenda Chini Wote....!

Hatuandai ritimu ra kwenda kwenye yare mashindano ya mageshi muraaa
 
Hii thread poa sana. Mimi naomba kuwa mkuu wa "academy" ya timu hii au "director of football". Hapo ntachagua vijana chupikizi kwa kumuiga Arsene Wenger au aka Le Professor.

Sasa mimi naona JF FC itafutiwe mechi za kujipima nguvu.

Halafu mkuu KKN, hayo masuala ya WAGS si mazuri kwani huwa wanachosha sana wachezaji.

Unajua kwamba WAGS wote wa wachezaji wa Italy waliwekwa benchi mpaka Italy ilipotwaa kombe la dunia mwaka 2006?

Natamani iombwe mechi na mafisadi tutapiga kiatu mpaka asibakie mtu.

Lol.
 
naona first eleven imechaguliwa bila ya kuangalia viwango.Yaani hata mimi striker katika benchi sipo alafu mtu kama yoyo kapewa jezi,DUH!!!!!!!!!!!!1
mkuu tunaangalia viwango uwanjani kama unaweaza kupiga vyanzu,vyobo na vyenga unakabidhiwa jezi......

Napendekeza tucheze fomesheni ya 4-5-1-1 central midifilidi 6 anakaba sana akimsaidia sentahafu huku kiungo midifilidi namba 8 akishuka chini kwenye dimba dogo akikaba na kutumbukiza mipira kwa left,right wings na kwa......

.......wings zoote kazi yao ni kushuka kusaidia full beki rights na left kukaba na kupandisha mipira kwa central foward namba 10 ambae yeye aanachukua mipira na kunipa mimi ambae sifanyi ajizi kuwainua wapenzi.....fomeshinei hii ni nzuri sababu watu 9 kwa pamoja wanashuka na kupanda kwa pamoja.....
 
Last edited:
The thing is,make it happen au mnasemaje jamani?Kwasababu faida za michezo kila mtu anazijua siyo unabuni/tunabuni kitu halafu kinaishia kubakia katika maandishi;tutekeleza ili watu waone kitu halisi na wafaidike nacho kwa upande mwingine.

Balantanda amekuwa creative kwenye hili kimawazo kutokana alivyowasoma wana JF mbalimbali. Ila to make it happen,sidhani kama itatokea!

Ndo mana amesema JF FC-The Dream Team!........
 
Dah,chama langu naona linaelekea Kibra now(limelala sana)..Itabidi tuanze mazoezi ya kufa mtu kujiandaa na WC mwakani...Meneja na Wasaidizi mpooooooooo??
 
Tupo holiday tunasubiri next season but kuna wachezaji viwango vimeisha inabidi waachwe
 

akili yako fupi kama mashabiki wa SIMBA
hivi unaelewa maana ya KAMATI YA YA UFUNDI au basi tuuu

Hivi kati ya hao watu wa Ulaya na USA ULIOWATAKA HAPO JUU NANI YUKO TAYARI KUMNYONGA MWANAE ILI TUMU YA JF ISHINDE?

nadhani hiyo kamati ingeongozwa na MSWAHILI na labda kwa mbaali ENGINEER MOHAMMED labda
 
ulitakiwa useme akili yake fupi kama mashabiki wa ARSENALI
 
Sina doubt kwani Mfadhili wa Timu au tuseme mmiliki wa timu mkuu Balantanda amepanga timu makini hivyo sina hofu ya ushindi.

JF-FC idumu (prost) means cheers
 
Mimi nitakuwa manager wa masoko na ufadhili, kazi nimeishaianza hata kabla hamjanipa kura za ndio, kampuni ya CASPIAN wamejitolea kwa JEZI, IPP watamlipioa coach na Yusuph Manji atatoa magari kwa ajili usafiri, Vodacom watatoa simu za bure kwa wachezaji na mashabiki,.kazi bado inaendelea.
 

Dah........Naona chama letu limefifia siku hizi........Kama vipi inabidi tufanye usajili upya na kuwaleta Galácticos....
 
kwenye dream team mpya msimsahau mpiga vuvuzela maarufu j rated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…