Doh watu wa mjini bwana [emoji23]Hapo karibu hivyo
UnipitieI’ll be there
hilo nalo neno...ukiwepo nami ntalipia😉😉Unaogopa umewakosea kitu gani hao wasiojulikana? Na watakujuaje kama wewe ndo cmoney?
Bagamoyo hata Kimbiji mbali bwanaDoh watu wa mjini bwana [emoji23]
Anataka niharibia jamaniiSio MTU nzuri kabisa
Hahaaaa utanirudisha na ile Prado yakoBagamoyo hata Kimbiji mbali bwana
Utanikuta hapa Uzunguni[emoji23][emoji23]Unipitie
Nitakuwepo. Na kuna utaratibu wa kutokujua Id za watu kabisa kama umerudia kusoma tena post. Labda utake tu tukuweke kwenye list ila unaweza Tumia majina yako ya uraiani bila wasi kwenye partyhilo nalo neno...ukiwepo nami ntalipia😉😉
Ugali wa bure bado nautaka ujue [emoji23][emoji23]Hahahahahaha
Prado yangu ya miti au ile ya udongo shoga?Hahaaaa utanirudisha na ile Prado yako
Ya Bati [emoji23]Prado yangu ya miti au ile ya udongo shoga?
Mimi hapa natafuta wa kucheza nae blues.
Haha nitalala kwa mlinziNataks nikuweke sehemu salama.
Au tutakukodia mabodigadi
Ya bati iko garage bado haijapona [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya Bati [emoji23]
Mjini pagumu ujue hahaaaUmeona eeeee
Uingize kitumbua mchanga?
Itakuwa muskheri