Hawa wakugaluga sijui wameibukia wapi...Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
Wewe nenda kale mihogo acha sisi tuibiane.Hata kama nyinyi ni wajanja wa mjini lakini tafuteni mbinu mpya
Jipangeni muandae yenu gulioni.Maisha ya nyuma ya keyboard kuwa reality. Tulio koromije naona party imetukosa
Madam count on mee!!!!@mtu chakeSio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jipangeni muandae yenu gulioni.
Mavazi madam wekeni vaaa pendezaaa!!!wengine siye wabayaaaaa![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Karibu sana mkuu
Mkuu wamekutosa ukumbi naona unaleta stori za mbugani....utawalipia?Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications.
Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa.
Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani.
[emoji4][emoji4][emoji4]Nahitaji partner pleaseee....!!!
Unahitaji partner au unahitaji kulipiwa?Nahitaji partner pleaseee....!!!