Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Yego magamboki ?
Karibu mkuuHahaa, zero distance tu; Ondoa shaka, nitaibuka! [emoji1][emoji1]
Nakosaje jamani [emoji23][emoji23]Na wewe utakuwepo?
HahaaTena bora ili mjifunike shuka lake yule mmasai
Kaka utaudhuria?!Hii ni ya tatu ama nini?
Basi ile ya kuchonga [emoji23][emoji23]Ya bati iko garage bado haijapona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halikatiki hata kwa shokaPagumu kama goti la tembo
Nakusubiri uanze wewe[emoji23][emoji23]Umeshatuma hela??
Baibui jeusi ndugu yangu vaa.jamani madame B sie wavaaji baibui na hijabu itakuwaje sasa hapo cc Hajar ujichange tusikose dada
Kiwe Kijora cha jeans lakini[emoji23]Vijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mama ntakujulisha!Nakusubiri uanze wewe[emoji23][emoji23]
Pale option ya tatu ni black dress.jamani madame B sie wavaaji baibui na hijabu itakuwaje sasa hapo cc Hajar ujichange tusikose dada
Poa poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mama ntakujulisha!
Atakuajue kama hujachanga au umechanga ukatumia jina lingine kuingia ukumbuni? Acheni kujishtukia bila sababu bwanaPeople here are invisible.. And looks like sm1 wana expose us[emoji848][emoji848][emoji848]