Hahaaaaa unaniangusha Bestie [emoji28]Nilifeli kama zotee...aiseehh!yani nna zero kabisaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haki tenaaa!!!nna zeroo!!!!Hahaaaaa unaniangusha Bestie [emoji28]
Hii ni Miranda nyeusi kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] nakataaaKila mtu na maisha yake wewe elf30 kwako nyingi mwingine pesa ya sodaa!!hata kuhongi haitoshii
Humu kila mtu above 18 so ushauri km huu wapelekee wanafunzi kwenye school bash!sorry to offend uuu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!!!!!!umeona eeeehHii ni Miranda nyeusi kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] nakataaa
Nataka upate mojaaHaki tenaaa!!!nna zeroo!!!!
Usintingishe nipo naperuzi kivaziiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!!!!!!umeona eeeeh
utakosa nguo wewe ahaha huwezi kabati lako lina nguo zingine hata hujavaa unakumbuka kale ka top keusi hujawahi kabisa kuvaaLeta nitanunua nguo
Huna pesaMchango wa nini? Kila mtu aje na hela yake siku ya tukio. Mambo ya kuzalisha wakina Ontario wapya hatutaki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msije mtaingia na mapanga ukumbini!!!
kwani nguo bei gani maana utasema na kiatu sasaPartu hii nataka nguo mpya.
Za zamani tutavaa tukienda Papichullo
Nani Kasema?Kwani padre haruhusiwi kuvaa jeans!!!