JF-get together party Disemba 2018

cute b kasikia, nasikia wasiokunywa ndo wanaongoza kuja kututangaza humu vituko vyetu.

Mara utasikia fulani alilewa akajitapikia, fulani alizima, fulani ilikuwa hivi.

Komesha ni kutoweka soda wala juice, iwe pombe na maji tu.
Full kuwachora ,.. Siunaelewa tusiokunywa pombe vile tunafanyaga? Full kuwapeleleza.
Jamani kama soda hamna tutafanyaje sasa Mimi na Raynavero??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wacha kabisa hii inaitwa funika kombe dada usijali kujulikana tutajulikana tu kwa hizo dress@hajar
 
Pale option ya tatu ni black dress.
Mamie baibui jeusi we tinga tu.
Juu piga nikabu yako au burkha....mkononi shika azam embe yako.
Uje tupige story and dance kidogo.
Tena nyie wavaa baibui mnakuwa na manukato hadi raha.
Uje tu aisee
Hahahaaa. Nimecheka Daah.

Tutakuja kwa kweli maana mambo mazuri ka haya hayatokei mara kwa mara.

ukhuty umeona hapo eti na nikabu juu. Lol.
 
Huna pesa
Usipochangia si ndio mtatusumbua kuomba offer za bia
Dont say I didnt warn you. Unamkabidhi vipi pesa mtu ambaye hujawahi muona na kwenye mitandao anatumia ID fake? Bora hata angekuwa mwanaume. Hawa wanawake tunaokutana nao bara barani, unamtumia elfu kumi na tano ya nauli aje kwenye tukio anakutapeli, hela harudishi na anatoa udhuru kibao, then hao hao leo ndio unakabidi 2,100,000 cash mkononi? Unategemea muujiza gani hapo zaidi ya kuwa dissapointed?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…