35? Duuuh mbona mbali sana hukooNasubiri ya 35+ wangu!![emoji16][emoji16]
35yrs sio mbali bwana!35? Duuuh mbona mbali sana hukoo
Njoo kwanza hii upate experience
Kitulize mkuu.. We mgeni nni?Jifunzeni jinsi mikutano ya HACKERS inavyoandaliwa na jinsi wanavyokutana.
Msihatarishe usalama wa watu kizembe namna hii.
Maxence Melo angalia hii kitu ni kukutwika yet another burden from safeguarding our anonymity.
Facebook users or tweeter users wameshawahi fanya kitu similar to this.
Lets enjoy JAMIIFORUMS platform.
Ule mchuchu humu umeupiga chini?35yrs sio mbali bwana!
Nakujaje bila partner witty?
Mchuchu yupi tena, hem nitonye[emoji3]Ule mchuchu humu umeupiga chini?
Kama ni tusi mwenyewe!Kitulize
Ule mnaobebishana humu[emoji23] [emoji23]Mchuchu yupi tena, hem nitonye[emoji3]
Wanatubagua tusiokunywa pombe Hahahahahahaha umenifrahisha na hizi comments zako
Haa ha haa...hachelewi kuita kituo kizima cha polisi huyo![emoji23] [emoji23] [emoji23]Kitulize mkuu.. We mgeni nni?
Fresh fruits..Kitulize mkuu.. We mgeni nni?
ha ha h utakunywa juice za azam momWanatubagua tusiokunywa pombe Hahahaha
Siji nao sitaki waje kuniharibia biashara zangu !hata sjui we nenda nao tu s wakezo bana
kumbe una business zako?? Basi sawa bwana si tutakua waangaliaji tuSiji nao sitaki waje kuniharibia biashara zangu !
Nafanya utafiti.kumbe una business zako?? Basi sawa bwana si tutakua waangaliaji tu
Najua wanawake wa jf ndio hawa hawa wa kitaa. Ila ole wao au ole wenu....!kumbe una business zako?? Basi sawa bwana si tutakua waangaliaji tu
wa nini sasaNafanya utafiti.
ole wetu tena??? Kwa nnNajua wanawake wa jf ndio hawa hawa wa kitaa. Ila ole wao au ole wenu....!
Nitakwambia.wa nini sasa
baada ya hi party au kabla?Nitakwambia.