JF-get together party Disemba 2018

Coco beach kwa kishamba. Kuna beach nyingi nzuri. Unalipa kiingilio chako tu unakutana na wana nJf wenzio huko ndani.
Anonymity inapaswa kuzingatiwa! The party shouldn't poses any profit making characteristics, tujazane pale! Nikimuona mtu na assume kuwa ni Mshana Jr hahahahahahahha nina maana tunajimix katikati ya wasio member na kuyalisha macho chakula chake.
 
Wewe si ulichanga. Ina maana hukuangaika nayo tena. Ukisema huna idea unamaanisha nini? Wakati ulikuwa ni mjumbe wa kikao cha maandalizi.[emoji3][emoji3]
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…