BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Umepotea sana mpwa!!Kha waja kwa kufukua makaburi tu hamjambo
Mekumithi dada akeNiko hapa dear..nambie
Bibie andaeni Tena Basi naamin kipind hiki muamko utakuwa wa kutosha.Mekumithi dada ake
Madame B,ebu fufua huu mchakato kipind hiki naamin watu tunaotaka yupo wengi.Me too my dear yna2
Nope mwaya
Kuna walakini ama???Wewe si ulichanga. Ina maana hukuangaika nayo tena. Ukisema huna idea unamaanisha nini? Wakati ulikuwa ni mjumbe wa kikao cha maandalizi.[emoji3][emoji3]
Ahsante mtani, japo naona watakuwa wameshafanya maana ilikuwa mwaka jana.Yah..nataka nije nimuone NAKWEDE
sidhan Kama hiyo party Ni ya wa dar pekee..maana ata mm nipo Marangu sasa hiviAhsante mtani, japo naona watakuwa wameshafanya maana ilikuwa mwaka jana.
Mie naishi Mwanza siko Dar mkuu
Si imeshafanyika hiyo! maana naona thread ni ya mwaka jana 2018sidhan Kama hiyo party Ni ya wa dar pekee..maana ata mm nipo Marangu sasa hivi
OkeySi imeshafanyika hiyo! maana naona thread ni ya mwaka jana 2018
2018....Okey
Missing you tho much,Dodom umeshakuwa mwenyejieNiko hapa dear..nambie