JF Great Thinkers, mjadala JF ungelikuwa kwanini kamtoa huyu, ame mess up wapi/weakness na huyu aliyeletwa strengths zake ni zipi kuliko aliyetolewa

JF Great Thinkers, mjadala JF ungelikuwa kwanini kamtoa huyu, ame mess up wapi/weakness na huyu aliyeletwa strengths zake ni zipi kuliko aliyetolewa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones

Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa Kabudi na Lukuvi na leo kawarudisha?
 
Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho. Kiulize kwanini aliwatoa Kabudi na Lukuvi na leo kawarudisha?
Hizi teua-tangua zinaonesha mama hana sababu nzuri za kuchagua viongozi.
 
Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones

Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa Kabudi na Lukuvi na leo kawarudisha?
Mkuu Retired,
Naunga mkono hoja , uchambuzi wa aina hii unaweza kufanywa na critical thinkers, ambao humu jf ya sasa ni wa kuhesabika!.

Rais Samia ni mtumishi wetu, ni sisi ndio tuliomuajiri kwa kura zetu na ndio tunaemlipa mshahara wake, hivyo tuna haki ya kujua kwanini aliwaondoa Lukuvi na Kabudi na sasa kwanini anawarudisha, its our right Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge? baada ya bandiko hilo, Mama alituhisania baadhi ya taarifa hizi na tulimshukuru Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

Ila pia tukamwambia hizi panga pangua sasa they are becoming too much isijie kuonekana Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

P
 
Back
Top Bottom